Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani.
Chadema nao wakafanya kweli wakawatimua wabunge walioapishwa na Spika Ndugai na hii ni wazi kuwa hawana sifa ya kuwa wabunge kama ibara ya 71(1)(e) inavyotanabaisha.
Swali kubwa Je, Spika Ndugai atakubali kuwaondoa bungeni wabunge ambao alishaapa kuwalinda kwa udi na uvumba? Kisha kukubali kuwa mpaka sasa anavunja katiba ya JMT?