Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mbona tar 17.3.2021 alikubali matokeoNaona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani.
Chadema nao wakafanya kweli wakawatimua wabunge walioapishwa na Spika Ndugai na hii ni wazi kuwa hawana sifa ya kuwa wabunge kama ibara ya 71(1)(e) inavyotanabaisha.
Swali kubwa Je, Spika Ndugai atakubali kuwaondoa bungeni wabunge ambao alishaapa kuwalinda kwa udi na uvumba? Kisha kukubali kuwa mpaka sasa anavunja katiba ya JMT?
Yapi?Mbona tar 17.3.2021 alikubali matokeo
ChatoYapi?
ShitChato
Kwani mhalifu huwa anajihukumu mwenyewe?!Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani.
Chadema nao wakafanya kweli wakawatimua wabunge walioapishwa na Spika Ndugai na hii ni wazi kuwa hawana sifa ya kuwa wabunge kama ibara ya 71(1)(e) inavyotanabaisha.
Swali kubwa Je, Spika Ndugai atakubali kuwaondoa bungeni wabunge ambao alishaapa kuwalinda kwa udi na uvumba? Kisha kukubali kuwa mpaka sasa anavunja katiba ya JMT?
Ukweli ndio huoShit
Ana Kinga ya kushtakiwa ndio sababu Anafanya Atakavyo Yeye kwenye hii Jamuhuri [emoji88]Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani.
Chadema nao wakafanya kweli wakawatimua wabunge walioapishwa na Spika Ndugai na hii ni wazi kuwa hawana sifa ya kuwa wabunge kama ibara ya 71(1)(e) inavyotanabaisha.
Swali kubwa Je, Spika Ndugai atakubali kuwaondoa bungeni wabunge ambao alishaapa kuwalinda kwa udi na uvumba? Kisha kukubali kuwa mpaka sasa anavunja katiba ya JMT?
Ule ni mpango wa CCM yote. Ndugai anabebeshwa furushi tu. CCM wakiamua hao Covid 19 wanaondoka tena na Ndugai atakua anacheka tu Kama alivyowachekea Wakati anawaapisha. CCM ni genge la Uhalifu hatari zaidi duniani