johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unataka katiba mpya ikiwa hii yasasa huijui mbn lipo waz hili kikatibaKwa hali hii kuna umuhimu wa kuurudisha Bungeni ule mchakato wa Katiba Mpya ya Wananchi ili kuondokana na hii ya ccm iliyojaa viraka.
Utaitishwa uchaguzi mdogo atagombea Kafulila!Hivi Mpango si mbunge mwenye Jimbo?
Hii imekaaje pia, jimbo linaachwa wazi kimasihara hivi..
Hahahaaaa....... Kumbe ulimuona!!Karuka kusoma kipengele a,b,c na d anajua atawagusa wakina mdee na wenzake.hana haya hatakidogo....
Ndungai muhuni sana... ππππππHahahaaaa....... Kumbe ulimuona!!
Mpaka sasa hatuna bunge kuna kundi la washangiliajiKwa hali hii kuna umuhimu wa kuurudisha Bungeni ule mchakato wa Katiba Mpya ya Wananchi ili kuondokana na hii ya ccm iliyojaa viraka.
Rais kawaweza, eti ooh mbwatukaji awe makamu pumbafff nyumbu, hi ni serikali ya CCM.Nipoteze muda wangu kusoma katiba ya ccm! Wewe kweli ni Unskilled
Hafai kabisaNdungai muhuni sana... ππππππ
Bora uangalie hata taraabuNipoteze muda wangu kusoma katiba ya ccm! Wewe kweli ni Unskilled
Atarudi muda si mrefu kuja tena kuwakata pumzi! Matokeo si mmeyaona lakini?Rais kawaweza, eti ooh mbwatukaji awe makamu pumbafff nyumbu, hi ni serikali ya CCM.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Au nisikilize nyimbo za mdumange za Mzee wangu Shauri, kwenye radio casette yangu ya panasonic!! πBora uangalie hata taraabu
TeteteteteAu nisikilize nyimbo za mdumange za Mzee wangu Shauri, kwenye radio casette yangu ya panasonic!! π