wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,143
Nikweli kabisa naamini wakikubali kuijadili katiba amahakika kuna baadhi ya mambo itakuwa rahisi sana kuihoji Serekeli bila kufungana mdomo kwa nguvu.Kwa hali hii kuna umuhimu wa kuurudisha Bungeni ule mchakato wa Katiba Mpya ya Wananchi ili kuondokana na hii ya ccm iliyojaa viraka.
Anaomba kujiuzulu ubunge.Hivi Mpango si mbunge mwenye Jimbo?
Hii imekaaje pia, jimbo linaachwa wazi kimasihara hivi..
Kwa hali hii kuna umuhimu wa kuurudisha Bungeni ule mchakato wa Katiba Mpya ya Wananchi ili kuondokana na hii ya ccm iliyojaa viraka.
Ndio lipo wazi na act wazalendo wanalichukua jimboHivi Mpango si mbunge mwenye Jimbo?
Hii imekaaje pia, jimbo linaachwa wazi kimasihara hivi..
Wachukue yote kabisa na lile la marehemu NditiyeNdio lipo wazi na act wazalendo wanalichukua jimbo
Aungane na kovid wake?Utaitishwa uchaguzi mdogo atagombea Kafulila!
NaloliChuma kikoli moto!