johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ndo amesema hivyoWatu wamekimbia wakurudi watarudi na wengine ndio story yao inaishia hapa na ndio hivyo historia itawakumbuka kuwa waliwahi kuwa wabunge
Mungu fundi lakini.Mkirudi Bunge lijalo jambo la kwanz sie wanyonge tunataka ni kumlazimisha Rais atake asitake atawale Milele
Tupate na KUB mlokole!Tunaomba tukapate wabunge wenye weledi, maarifa, busara na hekima ili tukapate spika bora wa viwango mwenye weledi na hekima tukaachane na bunge la mipasho na uswahili kama hili linaloisha sasa! EE Mola tusaidie.
AminaTunaomba tukapate wabunge wenye weledi, maarifa, busara na hekima ili tukapate spika bora wa viwango mwenye weledi na hekima tukaachane na bunge la mipasho na uswahili kama hili linaloisha sasa! EE Mola tusaidie.
Tutawanyoa kwa chupa.
Roho inamuuma tuki anavyochukua kiti chake wakati huo yeye yuko utmraiani maana hata jimbo hapatiAkifungua kikao cha leo cha bunge ambacho kimehudhuriwa na wabunge wachache sana, Spika Ndugai alianza kwa kucheka kisha akasema "tumebakiwa na vikao viwili tu kabla ya kuagana"
Mjadala unaendelea na sasa mbunge Mariam Ditopile ndio anachangia.
Source: Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!