Spika Ndugai, huyu Lusinde na Musukuma kumbe ni 'vifaa' vya kushambulia?

Spika Ndugai, huyu Lusinde na Musukuma kumbe ni 'vifaa' vya kushambulia?

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Ukisikiliza mjadala huu utagundua kuwa kumbe vijembe na kushambulia watu kunakofanywa na "darasa la saba" hawa yaani Mbunge Lusinde wa Mvumi na Msukuma wa Geita kuna baraka za Spika Ndugai na ni mkakati wake anaotumia (kwa vile wana uwezo wa kubwabwaja lakini hawajitambui) kuzima kile wasichokitaka au kumuumbua mtu ndani au nje ya bunge.

Ndio maana hawa hata waende nje ya kanuni za bunge hawazuiwi wala kuonywa.

Sasa Spika kama anaweza kutumia hayo madafu kwa interest zake bungeni "heshima" hilo bunge iko wapi tena?

 
Ukisikiliza mjadala huu utagundua kuwa kumbe vijembe na kushambulia watu kunakofanywa na "darasa la saba" hawa yaani Mbunge Lusinde wa Mvumi na Msukuma wa Geita kuna baraka za Spika Ndugai na ni mkakati wake anaotumia (kwa vile wana uwezo wa kubwabwaja lakini hawajitambui) kuzima kile wasichokitaka au kumuumbua mtu ndani au nje ya bunge...
Bora uwe maskini na uwe na akili kuliko kuwa tajiri huku ukiwa na akili nusu.

Msukuma na Kibajaji wote wakapimwe akili kwanza, wanatumika bila kujua kwamba wanatumika.
 
Bora uwe maskini na uwe na akili kuliko kuwa tajiri huku ukiwa na akili nusu.

Msukuma na Kibajaji wote wakapimwe akili kwanza, wanatumika bila kujua kwamba wanatumika.
Wapiga wengi ni Elowai hivi hamjitambui?kuendelea kuwa-Undermine ni kutafuta kukosa kura hiyo ndo siasa baba
 
Kibajaji- Wananionea wivu kwavile nagombea uNec
Msukuma- Kwavile wewe lasaba mwenzangu ndiyo maana hawakutaki

Ndugai- Jamani Wabunge tutampa Uneki Kibajaji

Bunge - Ndiyooooo tutampa

Sasa kweli hili ni Bunge au kikao cha chama?
Nchi tunakwenda wapi?
 
Mtoa mada unaongelea nini?

Tunao ma prof lkn elimu yao ya kukakariirishwa kwenye makatarasi haijatupeleka popote zaidi ya kusainishwa mikataba ya kipuuzi na wasomi uchwara wa kizungu, hawa wasomi hawana tofauti na Chifu Mangugo wa Msowero.

Hawa la Saba kama wanajenga hoja hadi waziri Prof dish lake linayumba si bora wao?

Hata kama data wanalishwa na huyo spika sawa , hapo ni ujanja tu wakupata taarifa'.

Msukuma ana kampuni ameajiri walisoma na digrii zao nani mjinga hapo? Hivi kuna msomi mwenye akili aseme kama Katiba inaruhusu acheeni watu watinduane mitalo au aseme si kazi yake kuchungulia watu wanaume wanakula kisamvu kwa mila za Kiafrika? Kwahiyo watoto wake wakipigana scrach kwake sawa.

Mtu aliyekaririshwa ili kuyumbisha au kushambulia dawa yake si amshuti kwa hoja na kumtoa kwenye reli wanashindwaje na hawa ELOWAYI? Maana dawa ya mtazamiaji ni kuandika jibu la Uongo au unaandika tusi , halafu unalifuta wakati wa kukusanya daftari. Ukiona la saba wanamshambulia msomi na kumushinda jua ni mweupe tu.
 
Niliwahi kukaa katika mji wa Delhi,India nikakutana na familia moja ambayo ilikuwa imeishtaki hospitali moja wapo mahakamani kwa madai kuwa baada ya mtoto wao kulazwa humo alirudi nyumbani na IQ ndogo na uwezo wake wa kufikiri ulishuka.

Ndugu zangu, napendekeza SERIKALI ichukue hatua Kama ya ile familia maana Kuna kiongozi mmoja nae baada ya kulazwa huko kwa muda,fikra,mtazamo,weledi,upembuzi na utambuzi wake umeshuka. He should be formatted
 
bilion 76 kwa mwaka ni peanut kulinganisha na athari za mazingira zinazoweza kutokea kutokana na kuvuja bomba hilo pamoja na moshi utakaoachiwa kwenye anga yetu kutokana na kurefine mafuta hayo kabla hayajasafirishwa
Tunalo bomba la TAZAMA ndg ! Siyo kitu kigeni kwetu
 
Utakuwa MATAGA wa kiwango cha lami, hoja mezani ni vilaza wa darasa la saba Lusinde na Musukuma kutumiwa na spika dhaifu kuleta vijembe na mipasho dhidi ya wapinzani wake.

Wewe unaleta kampeni za marehemu wako mwendazake, kwani mradi huu upembuzi yakinifu ulianza 2016 alipoingia Jiwe?

Hebu tuache bana jikite kwenye hoja halafu fungua uzi wake watakuja waimba mapambio kuchangia
 
Nawakubali sana hao wabunge mimi,hebu ichambue hotuba ya msukuma,halafu uniambie ulasaba uko wapi pale?, elimu haiongezi akili,wala elimu haikufanyi uwe mazalendo,
 
Back
Top Bottom