Spika Ndugai, huyu Lusinde na Musukuma kumbe ni 'vifaa' vya kushambulia?

Umechelewa sana kulijua hili !
 
Msukuma mnae mzalau bungeni Ndo mwenye point.
Hii imedhihirishwa na Rais Samia baada ya kumtaja Kishimba kwa pointi zake
 
Wananyamaza maana wanatumia falsafa ya "never argue with a fool, people will not notice the difference "
 
Msukuma mnae mzalau bungeni Ndo mwenye point.
Hii imedhihirishwa na Rais Samia baada ya kumtaja Kishimba kwa pointi zake
Sasa kwa nini mifano ya ujinga anatolewa Msukuma na Kibajaj na sio Kishimba?
Kishimba hakusoma lakini ameelimika ndio maana hana mambo ya kipumbavu kama hao wawili
 
Acha uongo wewe. Msukuma ana kampuni gani ambayo ameajiri wenye digrii? Itajaje hiyo kampuni,usitulishe matango pori hapa!
 
Ndugai bila kubebwa na JIWE huo ubunge angeusikia kwenye redio!!
 
It's really disgusting the way things are proceeding over there.
 
Sasa kwa nini mifano ya ujinga anatolewa Msukuma na Kibajaj na sio Kishimba?
Kishimba hakusoma lakini ameelimika ndio maana hana mambo ya kipumbavu kama hao wawili
Pia mkuu ukirejea issue ya Bangi si ni haohao Msukuma na Kishimba
 
Huu mmjadala unaonyesha wanachama jf wengi ni la saba. La nne.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…