Ikiwa Viongozi Wakuu na baadhi ya waheshimiwa wakiugua hakuna taarifa yoyote ya Spika kutolewa kwa wananchi.
Je, kuna sheria gani au ulazima gani wakutambulishana ME/KE wa mheshimiwa Fulani.
Mheshimiwa akifa taarifa na kuahirisha vikao.
Akiwa anaumwa siri ya familia huku mkijua nikiongozi wa jamii.
Nampongeza aliyejisemea tangazeni naenda kutibiwa nje na alipogundulika akasema ni "TEZI DUME"