Spika Ndugai mbona CUF na CCM waliwafukuza wanachama wake hukudai muhtasari wala Katiba, kwanini udai kwa CHADEMA?

Viambatanisho katunga tu ndugai, ndugai anashughulika na kitu kisichomuhusu.Katibu mkuu wa chama Ni mamlaka Sio ya kutilia Shaka.Ndugai alipaswa kumpigi simu mnyika Kama angekuwa na wasiwasi nje ya hapo ni kuingilia Mambo ya vyama...
Suala sio kufanana kwa Katiba suala ni Viambatanisho Tumia Akili ya Binadamu acha kutumia za mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…