Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Wazee wa kulalamika bila fact
Kwani mtu akituhumiwa maana yake Hana haki ya nyingine yoyote?

Kwani mahakama ndio ilimweka ndani?

Wenyewe kamati kuu wanajua walifanya nn na kama wangekuwa hawajafanya kosa lolote leo kesi ingekuwa mahakamani
 
Usijitoe ufahamu ukajitia uchizi kisa kuteteea ujinga. Hakuna haja kubishania ujinga ulofanywa kwakifupi ikosiku tutapata spika mwenye akili,busara na uungwana na tuombe isiwe siku ya mbali
 
Usijitoe ufahamu ukajitia uchizi kisa kuteteea ujinga. Hakuna haja kubishania ujinga ulofanywa kwakifupi ikosiku tutapata spika mwenye akili,busara na uungwana na tuombe isiwe siku ya mbali

Hata kama ww ungekuwa ni spika ungefanya the same

Na hata kama ww ungekuwa ni kiongozi wa wanawake chadema Pia ungefanya the same

Vile ni viti vya wanawake na wanawake ndio wamekwenda, kama ni wizi wa kura mbona miaka mingine mlikuwa mnaenda?
 
Siku zote hizo kulikua na ubaya gani kuwajulisha kama barua yao ina upungufu? Sema tu maji yamefika shingoni. Cheo ni dhamana sio mali ya mtu.
 
Siku zote hizo kulikua na ubaya gani kuwajulisha kama barua yao ina upungufu? Sema tu maji yamefika shingoni. Cheo ni dhamana sio mali ya mtu.

Kwani uchaguzi mmeutambua au bado?
 
Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke.

Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao.
Bado unaweza kurudia haya maandishi yako hata sasa?
 
Bado unaweza kurudia haya maandishi yako hata sasa?

Me nawashangaa watu ambao mnadhani spika ndio aliwaleta wakina mdee

Mnasahau kuwa chadema walisimamisha mgombea wa urais na Kura ambazo walipata zinawaitaji kisheria kupeleka wabunge 19

Na hao wabunge wako bungeni sasa shida ni nn?

Ishu ya kuwavua uanachama wao kisa wamegoma kufata kususa Kwa chama Chao ni ishu ya wao Kwa wao sio serikali

Kama ww unasusa Mtoto wako asiende shule just because umesusa umtaki mwalimu mkuu na Mtoto akaamua kwenda kusoma kuna kosa?
 
Mfano wa kipuuzi sana. Wabunge wote wako bungeni kwa ridhaa ya vyama vyao. Pale chama kinapo ondoa udhamini kwao hawastahili kuendelea kuwa wabunge. Hapo ndipo hoja ilipo.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Huo ndio mwisho wa kutumia akili yako?! KWELI?!
 
Mfano wa kipuuzi sana. Wabunge wote wako bungeni kwa ridhaa ya vyama vyao. Pale chama kinapo ondoa udhamini kwao hawastahili kuendelea kuwa wabunge. Hapo ndipo hoja ilipo.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app

Why chama kimeondoa udhamini wao? Hilo ndio swali la kujiuliza, mbona hawakuondoa udhamini wao wakati wanaenda kugombea ubunge?

Chadema imefanya mambo ya utoto sana, mambo ya kususa Susa Tu,

Tangu mmeanza kususa kuna faida gani mlipata ?

Nyie hata vikao vya vyama vya siasa mnasusa, nendeni basi mkafanye siasa burundi
 
Sukuma gang mnatapatapa kulinda legacy ya kipuuzi.
Alianguka jiwe.
Kaanguka jobo.

Wale wabunge 19 hata ccm wenyewe mle ndani walikuwa hawawahitaji... Walikuwa wanalindwa na ndugai.

Mwaka 2022 hautaisha watakuwa wameshatolewa mle ndani.

Coz hawapo kihalali katika katiba na hili unalijua vizuri tu ni vile unakaza ubongo tu.
 
Unajua why Zitto alimuombea msamaha mbowe Kwa rais ?

Wale watakaa bungeni 5yrs,

Tume ambayo ilisema rais ameshinda ndio tume ambayo ilipeleka majina bungeni
 
Mimi sina chama,usiniite chadema. Kama wanasusa ni kwasababu ya dhulma mlizowafanyia. Orodha ya wabunge viti maalum speaker huipata toka kwenye chama husika siyo toka kwa tume ya uchaguzi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Unajua why Zitto alimuombea msamaha mbowe Kwa rais ?

Wale watakaa bungeni 5yrs,

Tume ambayo ilisema rais ameshinda ndio tume ambayo ilipeleka majina bungeni

Zitto anatembea na trending.

Zunguka kote lakini kilichofanyika kuruhusu wale wabunge 19 kuwepo mle bungeni siyo utaratibu.
Hili hata Ndugai mwenyewe alikuwa analifahamu.
Wabunge wa CCM pia wamekuwa wakililalamikia.

Ndugai huyuhuyu alimsikiliza lioumba alipofukuza wanachama wa cuf ambao ni wabunge.....
Lakini akawaacha hawa wa chadema... Hii ni double standard na ndo iliyomtafuna mpaka anaondoka kwa kudhalilika hivi...
 
Mimi sina chama,usiniite chadema. Kama wanasusa ni kwasababu ya dhulma mlizowafanyia. Orodha ya wabunge viti maalum speaker huipata toka kwenye chama husika siyo toka kwa tume ya uchaguzi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app

Naona haujui protocol ilivyo, ngoja nikufundishe

Tume ya uchaguzi inawaandikia chadema kuwambia kuwa wanaitaji majina ya wabunge viti maalum,

Chadema wanapeleka majina tume then tume inapeleka majina Kwa spika wa Bunge
 
Sababu ya chadema kuwavua uanachama ni nn?
Vile ni viti vya wanawake na wanawake ndio wamekwenda ni viti halali vipo kihalali
 
Naona haujui protocol ilivyo, ngoja nikufundishe

Tume ya uchaguzi inawaandikia chadema kuwambia kuwa wanaitaji majina ya wabunge viti maalum,

Chadema wanapeleka majina tume then tume inapeleka majina Kwa spika wa Bunge
Sasa mbona wote tunakubalian kuwa Majina hupendekezwa na chama. Hao covid 19 walipelekwa tume na chama gani? Hapo ndipo mzizi wa fitina ulipo.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…