Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Sasa ndugai anakosa gani kama alipata majina kutoka tume?
Kosa lake ni kutotilia maanani tarifa alizopata toka chadema kuwa wao hawakupendekeza hayo Majina. Pia hakujali hata tarifa alopewa kwa chadema kimesha watimua hao covid 19

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Why chadema wasideal na Tume? Na je chadema iliwatimua Kwa kosa gani?

Na je iliwatimua Kwa kikao halali au mtu mmoja Tu akiwa amelala alipiga simu.?

Akidi yao ya kikao cha maamuzi Yao ilitimia?

Minit za kikao ziko wapi?
 
Waliwatimua kwakuwa waliwasaliti na kuingia fungamano na tabaka tawala bila baraka za uongozi Wa chama. Above all,siyo jukumu LA speaker kujua wamefukuzwa kwanini. Anachopaswa kuzingatia ni kwamba wabunge hawana chama now

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Muwe mnajishughulisha kusoma soma hata kidogo basi kabla hamjaja kubwabwaja uharo humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie na Magufuli wenu si mlitaka wabunge wote nchi nzima watokane na li chaka lenu la mafisadi, sasa nini kimewakuta hadi mnalazimisha wawakilishi wa Chadema wawepo kwenye genge lenu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnadhan ubabe Una faida ndio shida yenu
 
Kwa hiyo unadhani baada ya kujiuzulu kw Ndugai watafukuzwa?
 
Sababu ya chadema kuwavua uanachama ni nn?
Vile ni viti vya wanawake na wanawake ndio wamekwenda ni viti halali vipo kihalali
Hiyo sababu ya kuwavua uanachama haikuhusu wewe wala spika...

Yale ni masuala ya chama kama walivunja taratibu zao
Kwa hiyo unadhani baada ya kujiuzulu kw Ndugai watafukuzwa?
Siyo kudhani hapo... Ndo uhalisia huom
 
Hiyo sababu ya kuwavua uanachama haikuhusu wewe wala spika...

Yale ni masuala ya chama kama walivunja taratibu zao

Siyo kudhani hapo... Ndo uhalisia huom

Sababu inatuhusu wote kujua Kwa sababu chadema kinafata sheria za inchi sio sheria za myika na lisu,

Chadema ni chama kilichosajiliwa Kwa sheria za inchi

Tatizo lenu vijana wa chadema mnadhan chama ni Mali ya mtu
 
Walipofukuzwa wale wa Cuf ilifata sheria ipi ilifuatwa?

Wale wabunge 19 hawana chama chochote!

Aliyewaweka ndo huyo karma ishamshughulikia...utake usitake hawana maisha marefu mle ndani.

Wanachezea kodi za wananchi tu.
 
Nyie mlifanya kosa la kitoto Sana, kila mtu anajua mliwafuta uanachama because wao walienda bungeni wakati nyie mlitaka wasuse

Sasa wao wanaakili timamu, hawakutaka mambo ya kususa Susa kama nyie wanaume wazima
 
Hiyo sababu ya kuwavua uanachama haikuhusu wewe wala spika...

Yale ni masuala ya chama kama walivunja taratibu zao

Siyo kudhani hapo... Ndo uhalisia huom
Imekula kwako kama ile ya kushitakiwa kwa Mbowe
 
Nyie mlifanya kosa la kitoto Sana, kila mtu anajua mliwafuta uanachama because wao walienda bungeni wakati nyie mlitaka wasuse

Sasa wao wanaakili timamu, hawakutaka mambo ya kususa Susa kama nyie wanaume wazima
Wewe akili yako fupi sana kama ndugai ndo alikudanganya hivyo basi alikujaza ujinga.
Walifutwa uanachama kwa sababu walitofautiana na msimamo wa chama wa kutokukubali uchufuzi wa 2020 hakukuwa na uchaguzi pale.

Wale covid 19 walienda kwa sababu ya tamaa zao na kuhakikishiwa usalama wao hadi 2025. Bahati mbaya mungu si Athumani
March JPM akafariki.
Wabunge wa CCM wakaanza chokochoko kuhoji uhalali wao.

Job akatumia nguvu yake kuzima hilo jaribio.

Haya mungu huyuhuyu wa Yakobo na Isaka na job naye kapita hivi...
 
Sasa kama uchaguzi haukuwa wa haki why mnataka kutoa majina Yao mpelekee majina mengine?

Au sasa hivi uchaguzi ni huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…