Spika ubavu huo Hana wa kulazimisha mbunge yeyote kuchanja ni.kanuni za bunge zinazotakuwa kuridhiwa na bunge na si lazima kuchanja zaweza tumika tu method za social distance bungeni na barakoa Kwisha
Hiyo michanjo ikabaki hiari atakaye sawa asiyetaka sawa ila ndani Ni social distance tu .
Wanalinda biashara zao ndiyo maana their silence matters.Akili zao iko very special aisee. You cannot logically understand their way of thinking
hoja yako ni ya kijinga sana .Mkuu usisahau pia kuwa ni viongozi hawa hawa wa Chadema ndio waliohamasishana mamia ya wananchi kwenda airport kumpokea Lissu aliyekuwa akitoka Belgium
Pia ni hawa hawa Chadema waliozunguka nchi nzima ktk uchaguzi mkuu kwaajili ya kuomba kura, na hakuna sehemu walipohimiza wananchi wavae barakoa au kuchukua tahadhari dhidi ya mikusanyiko