#COVID19 Spika Ndugai na Bunge lake waliwakebehi CHADEMA walipojitenga kuchukua tahadhari ya kuzuia COVID-19, leo analazimisha wabunge wachanjwe?

Ukishangaa hilo kuna hili
 
Wapinzani huwa wanaona mbali kuliko wabunge wa ccm.
 
YUKO SAWA💯%💪🇹🇿👍
"Only Stupid People Don't Change Their Minds"..😷😷.. Boutros Boutros-Ghali
Former Secretary-General of the United Nations
 
Spika Ndugai huwa hakubaliani na chochote wanachosema wapinzani hata kama ni kwa maslahi mapana ya Taifa.Anaongoza bunge kwa kuegamia upande tofauti na watangulizi wake ambao walikuwa wana-balance.

Ni mpuuzi sana
 

Kama wakati wa Magufuli alikuwa anawalazimisha kuwa hakuna corona na wakatii ule ujinga, sasa hivi kipi kitawafanya wachwe kuchanjwa bila ridhaa yao? Ukishaamua kupigania tumbo huwezi kuwa huru.

Haya mambo yanayofanywa na viongozi kipindi hiki ukifananisha na waliyokuwa wanafanya kipindi cha Magufuli, ndio utajua wazungu wako sahihi kutuita manyani.
 
YUKO SAWA[emoji817]%[emoji123][emoji1241][emoji106]
"Only Stupid People Don't Change Their Minds"..[emoji40][emoji40].. Boutros Boutros-Ghali
Former Secretary-General of the United Nations
Kuna tofauti kubwa kati ya kubadilika na kubadilishwa.
 
CCM is no longer rational but irrational. "Wao ili mradi mkono uende kinywani".
 
Hapa ndio umuhimu wa katiba mpya unapoonekana.
ili mawaziri wasiwe wanatokana na wanasiasa bali wajiriwe kulingana profesion zao.
 
Fikra zako ni nyepesi mno. Subiri utaona. Ni chanjo kwenda mbele. Kanuni za bunge zinabadirika kutokana na mazingira. Nawe jiandae kuchanjwa bila kutaka. Ni suala la mda tu.
 
Ndugai hashindwi kitu akiamua broo inategemea muhimili wa serikali utamuambia nini
 
Hana tofauti CDM ambao walimtukana Lowassa miaka 10 baadaye wakampokea na kumdekia barabara, pamoja na kumtandikia kanga chini ili asikanyage vumbi. Wote wanafiki wakubwa
 
Bora wachanjwe wafe tu maana hawana mchango wowote katika nchi hii zaidi ya kutufirisi na mav8 unayajua mav8 wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…