#COVID19 Spika Ndugai na Bunge lake waliwakebehi CHADEMA walipojitenga kuchukua tahadhari ya kuzuia COVID-19, leo analazimisha wabunge wachanjwe?

Ndugai hashindwi kitu akiamua broo inategemea muhimili wa serikali utamuambia nini
Hasomi alama za nyakati anabadilika Kama kinyonga Magufuli alimpa Hadi mtaa Dodoma unaitwa Ndugai street akampa soko Dodoma linaitwa soko la Ndugai Dodoma akampa Hadi Stendi kuu ya mabasi inaitwa Stendi ya Ndugai kumbe kinyonga na Tapeli mnafiki mkubwa kufa Magufuli kafanya U Turn kubwa

Anyway kifupi team Magufuli tunaojielewa tulisimama naye from day one na hatuji kumsaliti

Kafa ok kila mtu atakufa ila Magufuli hatuthubutu kumsaliti Kama Hawa wanafiki waliogeuka ghafla kumponda kwa maslahi ya muda mfupi

Ndugai of all the people Ndugai wa kugeuka na kumsaliti Magufuli kweli

Anyway Mungu yupo na asimame atoe hukumu ya Haki kwa Ndugai kwa uovu wake aliomtendea Magufuli marehemu .Ila Ndugai ajue Magufuli kafa lakini wafuasi wake tupo Tena wengi kweli kila Kona .Hawezi kutudhalilishia mtu aliyembeba hasa .Kama kazoea unafiki na undumila kuwili kwa umri ule alionao na Hali aliyonayo kachemka
 
Haishangazi kwa bendera kufuata upepo.

Watu wanaenda tu kama ng'ombe
 
"kila mwana CCM anaimba pambio la chanjo"- hapa ukubaliane na mimi kwamba haujafanya utafiti wa kutosha.
 
Cdm Wako mile kibao mbele ya ccm,
Juzi mbowe alisema chanjo iwe lazima wakamtukana Sana lakini leo kila mtu anataka kuchanja
 
wameamua kujikinga wakati mwanzoni enzi za faru john walitukana sana na wanaojikinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…