Nawaonea huruma sana wazee wajinga hawa! Hivi hawajihurumii wao na familia zao? Wanajua uchungu watakao pata watoto wao wakiona wazee wao wako jela kwa makosa ya kujitakia yasiyo na faida?wamejiwekea sheria ya kulinda maovu yao. Sheria haramu hakuna atakayeiheshimu.. utawala ukija mwingine, watafungwa tu maisha jela
Akiingia Lisu, say, watafungwa maana hatuwezi kukubali sheria ya kishenzi ya kulinda maovu. Tutaunda mahakama maalum nje ya mahakama hizi za sasa kushughulika na waasi hawa waliojiwekea sheria ya kujilinda ili wafanye maafaSpika ana kinga ya kutokuishitakiwa, na hiyo kinga walijiwekea na wabunge wa ccm kuipitisha, ili spika aikanyage katiba vizuri.
Wewe Mkuu Ni Mtata Sana!!!😂😁😀😅😄😃😂😁😀😀
Chadema ilitoa fursa ya waliofukuzwa kukata rufaa na kwa mantiki hiyo hukumu ya kamati kuu haikupelekwa kwa spika mpaka Baraza kuu litakapokaa na kuisikiliza rufaa ya wanachama 19.Kutoheshimu katiba ya nchi unayo APA kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa LA pili baada ya uhaini na mauaji....
HUKUMU HAIKUPELEKWA! NANI MKWELI KATI YAKO NA NDUGAI ALIYESEMA ALIIPATA ILA AKAAHIDI KUWALINDA?Chadema ilitoa fursa ya waliofukuzwa kukata rufaa na kwa mantiki hiyo hukumu ya kamati kuu haikupelekwa kwa spika mpaka Baraza kuu litakapokaa na kuisikiliza rufaa ya wanachama 19..
Mkuu una angalizo zuri, ila matamanio yako sio rahisi kufikiwa kwani ukija utawala mwingine watasema hawafukui makaburi.Nawaonea huruma sana wazee wajinga hawa! Hivi hawajihurumii wao na familia zao? Wanajua uchungu watakao pata watoto wao wakiona wazee wao wako jela kwa makosa ya kujitakia yasiyo na faida?
Na wenyewe itabidi wapigwe chini kwa kulinda wavunja katiba.Mkuu una angalizo zuri, ila matamanio yako sio rahisi kufikiwa kwani ukija utawala mwingine watasema hawafukui makaburi.
A country of shame! Leaders do not uphold the constitutional requirements any more; and yet nobody is shouting at them.Kutoheshimu katiba ya nchi unayo apa kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa la pili baada ya uhaini na mauaji...
Amepewa maagizo toka juu. Wao ubongo wao walisha mkabidhi mtu.Kutoheshimu katiba ya nchi unayo apa kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa la pili baada ya uhaini na mauaji....
Uko sawa, ila niambie hata mishipa ya fahamu hawana kuwa katiba inavunjwa?Chadema ilitoa fursa ya waliofukuzwa kukata rufaa na kwa mantiki hiyo hukumu ya kamati kuu haikupelekwa kwa spika mpaka Baraza kuu litakapokaa na kuisikiliza rufaa ya wanachama 19....
umesahau hawa miamba wanakinga eeeeeeeeehhhKutoheshimu katiba ya nchi unayo apa kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa la pili baada ya uhaini na mauaji...
Walishajiwekea kingaKutoheshimu katiba ya nchi unayo apa kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa la pili baada ya uhaini na mauaji.
Spika wa Bunge Job Ndugai na Katibu wa Bunge wanapaswa kupelekwa mahakamani kama sio leo basi baada ya utawala huu unaowalinda kuondoka madarakani.
Sakata la Wanachama wa CHADEMA waliofukuzwa uanachama na kuendelea kuwa wabunge kinyume na maelekezo ya katiba ni kuidharau hiyo katiba na kwa maana hiyo ni kosa kubwa la jinai linalofanywa kwa makusudi.
Kama Spika wa Bunge hawezi kuheshimu katiba kuna sababu gani raia wengine kuiheshimu?