Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa wa kisiasa , alikuwepo bega kwa bega pembeni ya mwendazake akiwahutubia wananchi kwenye mikutano akiwaambia wananchi kwamba miradi yote hiii mikubwa inajengwa na pesa zetu za ndani.
Wananchi walikuwa wanapiga makofi na Ndugai mwenyewe anapiga makofi. Ni kweli pasipo shaka kwamba kwenye utawala wa awamu ya 5 kulikuwa na miradi mikubwa mingi sana kupita uwezo wetu na kiasi cha kutuelemea, SGR Mwalimu HYDRO ELECTRIC POWER, Flyover new SALANDER BRIDGE na mingine mingi ambayo sikuilezea hapa.
SGR imesimama hakuna hela, Mwalimu Hydro electric power iimesimama hakuna hela.
Je, hi miradi ingemalizwa kwa pesa gani?