Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa. Miradi ambayo haijakamilika ingemalizwa kwa pesa gani?

Tozo ililetwa kwaajili ya kujenga madarasa, barabara, hospitali nk

Tumeenda kukopa hela kwaajili ya kujengea madarasa, sasa pesa ya tozo inaenda wapi?inafanya kazi gani?

Hili swali ni kama halina majibu mpaka sasa.
Wakikujibu hili jambo basi nitag.
 
Suluhisho la miradi iliyokwama sio kukimbilia kukopa ili kukamilisha, suluhisho kamili liko kwenye hatua tatu kuu:

1. Kufanya upya upembuzi yakinifu wa gharama na muda.(huenda tukagundua mapungufu ya kimsingi ambayo yalifichwa kabla ya kuanza hiyo miradi)

2. Kuchambua upya faida ya hiyo miradi ikiwa itakamilika. (Ipo miradi hata ikikamilika leo bado haitaleta faida zaidi ya hasara kwa taifa, kwa mfano ununuzi wa ndege, uboreshaji wa Dodoma kuwa jiji, ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino nk)

3. Kuikamilisha kwa mtindo wa kuishirikisha sekta binafsi (PPR)
 
Suluhisho la miradi iliyokwama sio kukimbilia kukopa ili kukamilisha, suluhisho kamili liko kwenye hatua tatu kuu:

1. Kufanya upya upembuzi yakinifu wa gharama na muda.(huenda tukagundua mapungufu ya kimsingi ambayo yalifichwa kabla ya kuanza hiyo miradi)

2. Kuchambua upya faida ya hiyo miradi ikiwa itakamilika. (Ipo miradi hata ikikamilika leo bado haitaleta faida zaidi ya hasara kwa taifa, kwa mfano ununuzi wa ndege, uboreshaji wa Dodoma kuwa jiji, ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwinonk)

3. Kuikamilisha kwa mtindo wa kuishirikisha sekta binafsi (PPR)
 
Bado hakuondoi kukopa.
1,2,3 ni hoja safi sana.
 

Serikali ni ile ile ; walipokuwa wanaamua kuwekeza kwenye hii miradi alikuwepo kama makamu wa Rais; na hivyo ndio maana akasema KAZI IENDELEE kwani anajua inakotoka na imalizike na mbinu gani! Ndio maana ya dhana ya COLLECTIVE RESPONSIBILITY.
 
Mshenzi mkubwa wewe, Rufiji imesimama kwa sababu hatuna pesa ya crane la tani 26?!!! Mbwa kenge wewe!!!
 
Growth for znz ndio nn sasa?
 
Mkuu ungeandika kwa lugha ya kiswahili, hicho kingereza umekosea Sana. Au ulikuwa unamaanisha nini?
Dah...Mkuu mbona kaandika kiingereza Cha kawaida sana.....kwani wewe umemuerewaje ? 🤭
 
NDUGAI kuna uwezekano kabisa ni BABA YAKE SABAYA revenue collector wa jiwe, anataka tuone umuhimu wa ukusanyaji mapato kwa KABARI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…