Yaani safari hii nitanenepa sana sina wasi wasi na Serikali ya Rais Samia Chaguo la Mungu!
Katika zama ambazo nchi inaendeshwa kisomi ni zama hizi za serikali ya awamu ya 6, Nchi inaendeshwa kisomi sana, watu kama ndugai wameamua waachane na siasa za kiki warudi kwenye taaluma zao ila wakina gwajiporn ambao hawajasoma alama za nyakati wao wanafikiri bado tupo zama zile za sifa za kijinga watapata tabu sana,
Hii nchi tangu korona imepiga rasmi na watu kujitia hamnazo tumezika viongozi wengi sana ijapokua mamlaka husika zinadai walikufa kwa magonjwa mengine ila mwenye akili haitaji kujiuliza maswali mengi, hayo magonjwa mengine yalisubiri covid ije ndio yawauwe kwa kufuatana hv?
Angalia tangu march 2020 mpaka leo tumepoteza watu mashuhuli wangapi kwa vifo vya ghafla? Sasa sasa hivi tunasema vifo basi chini ya serikali inayoendeshwa kisomi ya Mama shupavu Samia suluhu Hasan iron lady,
Nchi ipo kwenye kampeni ya chanjo, chanjo inasaidia sana kudhoofisha ugonjwa angalia wenzetu nchi zilizotuzunguka mpaka sasa wamekufa viongozi wangapi ukilinganisha na Tanzania?
Kazi iendelee! Ndugai kamatia hapo hapo yule bwana asifikiri namna anavyoongoza kondoo wake wa kawe ataiongoza na Serikali hvyo hivyo