In Kungwi's voiceNerepoukwaa Urais Bei ya Shukare irekuwa erufu 5, Sasa ni erufu 3
Africa bana leo tunajadili sukari km nchi while wengine wanajadili vitu vya kimaendeleo na kupambana na covid.
Saivi tuna vitu 2 vinatusumbua
1.covid-19.
2.sukari.
Mungu atupe mwanga naona tunaelekea pabaya sana,Tz ya viwanda inasaka sukari utadhan blue meth.
[/QUOTE
Mnatetea mpaka ujingaMlililia lockdown sasa umekosa sukari tu mnalia je mkokosa unga itakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app