K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Sep 2, 2022 #1 Inasikitisha miaka yote ya ubunge unakumbukwa kwa haya tu. Fanyeni kazi kwa haki huwezi kujua kesho yako.
Inasikitisha miaka yote ya ubunge unakumbukwa kwa haya tu. Fanyeni kazi kwa haki huwezi kujua kesho yako.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 Sep 2, 2022 #2 Atakumbukwa pia kwa kumtandika mpinzani wake bakora mpaka akazima wakati wa uchaguzi
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Sep 2, 2022 #3 Ametupwa Huko, Hasikiki
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Sep 2, 2022 #4 Umesahau picha ya rais wa Mbeya a.k.a Sugu. Yote haya aliyasababisha Ndugai
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Sep 2, 2022 #5 Nakikumbuka alivyomrudisha kihuni Bw. Cecil Mwambe pale Bungeni huwa naona huyu jamaa alikuwa zero brain kabisa
Nakikumbuka alivyomrudisha kihuni Bw. Cecil Mwambe pale Bungeni huwa naona huyu jamaa alikuwa zero brain kabisa