Spika Ndugai utakumbukwa kwa lipi?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Inasikitisha miaka yote ya ubunge unakumbukwa kwa haya tu. Fanyeni kazi kwa haki huwezi kujua kesho yako.







 
Atakumbukwa pia kwa kumtandika mpinzani wake bakora mpaka akazima wakati wa uchaguzi
 
Umesahau picha ya rais wa Mbeya a.k.a Sugu.
Yote haya aliyasababisha Ndugai
 
Nakikumbuka alivyomrudisha kihuni Bw. Cecil Mwambe pale Bungeni huwa naona huyu jamaa alikuwa zero brain kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…