johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Natumai sheria zilioanzisha taasisi hizi zilipitishwa hapo hapo mjengoni, na mishahara yao haipangwi gizani kuna mamlaka zinaridhia na kupitisha. Mshangao kama huu ni wa kinafiki sana.Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya...
Ndugai naona akili iko free fall!Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya..
Mbona wakati mwendazake alikuwepo mlikuwa kimyaa!! kwani wameanza kulipwa namna hiyo majuzi baada ya msiba?Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya....
Mbona yeye alitumia zaidi ya bilioni 20 kwa matibabu huku lissu hakupewa hata senti tano ya matibabu?Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya...
Anajua qualifications za kuwa Manager wa TARURA na RUWASA? maDED yaani Wakurugenzi wa Halmashauri wengi huteuliwa kwa hisani ya Rais hata kama hawana sifa stahiki.Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya...
Duh.....!!Anajua qualifications za kuwa Manager wa TARURA na RUWASA? maDED yaani Wakurugenzi wa Halmashauri wengi huteuliwa kwa hisani ya Rais hata kama hawana sifa stahiki.
NB: Mke wa Ndugai ni DED wa Bahi.
Mgonjwa wa gharama zaidi ya wote katika JMT.Ajabu kabisa wakati yeye ndiye mtunga sheria?He is hopeless dumb!
Kwani Tundu Lisu alitibiwa kwa bei gani na serikali?Mgonjwa wa gharama zaidi ya wote katika JMT.
MaDED ndio wasimamizi wa uchaguzi!Naona mkuu kama kapagawa hivi ....
Kabla ya kuwasema hao wakuu wenzao wangetaja ya kwao ilitujue kama tuna zika au kusafirisha.
hao n wataaluma waacheni walipwe hivyo hivyo tu....
Kwani maded ndio nani kwenye hii nchi?
Hahahaaaa........ Wabishi wabishi tu!kumbe chadema ndiyo wanawalipa hii mishahara!
Hayati alikataa kulipia matibabu ya Tundu LissuKwani Tundu Lisu alitibiwa kwa bei gani na serikali?