Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

Huyu shetani ana roho mbaya sn, mbona yeye analipwa vizuri hasemi
 
Kumbukeni Ndungai mke wake ni DED wa Bahi- asije akawa na conflict of interest
 
Bora ikate huyu shetani
 
umeongea bonge la point aiseeee
 
Kwahiyo wakurugenzi wasimzidi mkewe mshahara??.
Yeye anajua limitation za uspika wake?
Au anajiona anaweza ropoka chochote?
Kwani Ndungai sio mbunge au apaswi kuchangia chochote kama spika?
 
Huyu Spika ni wa hovyo kabisa
 
Ila kiukweli siioni faida ya uwepo wa TARURA kwani Performance yake ipo chini sana ukilinganisha na kipindi ambacho kazi zake zilikuwa chini ya halmashauri husika.

Nazani moja kati ya vitu ambavyo mwendazake alikosea TARURA ni moja wapo.

Rais mama Samia naomba uingalie TARURA upya kama inastahili kuwepo au na yenyewe iondoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…