peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tanzania kwenye ulipwaji wa mishahara kuna serikali nyingi.Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.
Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.
Ramadhan Kareem!
Acha kutetea utopolo wewe!!!Naona mkuu kama kapagawa hivi ....
Kabla ya kuwasema hao wakuu wenzao wangetaja ya kwao ilitujue kama tuna zika au kusafirisha.
hao n wataaluma waacheni walipwe hivyo hivyo tu....
Kwani maded ndio nani kwenye hii nchi?
π€£π€£π€£Mgonjwa wa gharama zaidi ya wote katika JMT.
Hayati Jiwe alikuwa ameunda SERIKALI NDANI YA SERIKALI!!Tanzania kwenye ulipwaji wa mishahara kuna serikali nyingi.
Ilikuwa serikali ya aina yakeHayati Jiwe alikuwa ameunda SERIKALI NDANI YA SERIKALI!!
Sukuma Gang from CHATO ndani ya Serikali ya CCM YA MAGUFULI. Tukisema Utawala huu wa A5 ulikuwa ni majanga mafisi wa Lumumba wanajifanya hawajui!! This time around sote tutaongea lugha moja tu!
Kwa hiyo ndugai ni 'shujaa wa africa' kaitka matumizi makubwa ya hela ya umma kwa matibabu?π π πSi JMT tu, huyu ni kwa Afrika yote.
Mbona na Wabunge mnalipwa hivyo hivyo husemi?Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.
Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.
Ramadhan Kareem!
Vipi mkuu mbona unaguna?Duh.....!!
Shujaa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo ndugai ni 'shujaa wa africa' kaitka matumizi makubwa ya hela ya umma kwa matibabu?[emoji28][emoji28][emoji28]
Halafu unashangaa mijitu kama kina Lusinde Kibajaj na Msukuma Kasheku (CLASS 7)wanasimama Bungeni kuunga mkono ujinga, ubazazi na uvuta bhang na Spika ati anatenga muda "maalumu " ili vichaa hao waongee kuwatukana CHADEMA na Wasomi wa kiwango cha Professors!?? Nonsense.Ilikuwa serikali ya aina yake
Zero Tzs.Kwani Tundu Lisu alitibiwa kwa bei gani na serikali?
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) Prof. Assad alitimuliwa na Ndugai mara tu report yake CAG ya 19/20 ilipofichua Ufisadi huo wa matumizi ya Ndugai akiwa India kwa matibabu!!!Kwa hiyo ndugai ni 'shujaa wa africa' kaitka matumizi makubwa ya hela ya umma kwa matibabu?π π π
Kibajaji aombewa udaktari wa heshima!Halafu unashangaa mijitu kama kina Lusinde Kibajaj na Msukuma Kasheku (CLASS 7)wanasimama Bungeni kuunga mkono ujinga, ubazazi na uvuta bhang na Spika ati anatenga muda "maalumu " ili vichaa hao waongee kuwatukana CHADEMA na Wasomi wa kiwango cha Professors!?? Nonsense.
Kumbe ugomvi ulianzia huko?!Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) Prof. Assad alitimuliwa na Ndugai mara tu report yake CAG ya 19/20 ilipofichua Ufisadi huo wa matumizi ya Ndugai akiwa India kwa matibabu!!!
CCM ndiyo chanzo za hizi crisis kwenye nchi hii!Tanzania kwenye ulipwaji wa mishahara kuna serikali nyingi.
Over my dead body!Kibajaji aombewa udaktari wa heshima!
Huyu nae ndumilakuwili mchumia tumbo, mbona hashangai Wabunge na maspika kulipwa mshahara mkubwa kuliko walimu. Kuna anaezidi kazi ya mwalimu? Hawa ndo walistahili mshahara mnono, lakini kwa Tanzania hizo ni ndotoSpika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.
Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa wamejigeuza miungu watu.
Ramadhan Kareem!