Elections 2010 Spika Sitta Ukifanyiwa Zengwe CCM fanya haya


6. Muombe radhi Dr. Slaa na watanzania kwa ujumla kwa kuwa mnafiki na ukiri waziwazi kwamba sera ya elimu bure inatekelezeka sema tu ulikua unatetea tumbo lako
 
Fisadi ni fisadi always fisadi hawezi kuwaonea huruma wachache eti mna dhiki yeye hujiangalia peke yake

mzee gomezi
 
Sitta naye ni mchafu vilevile, huwezi kwenda kujenga ofisi ya kifahari tena ya mamilioni jimboni kwako wakati wananchi wanalalamika kuwa hawana madawa kwenye dispensari. Ikitokea asishinde huo uspika au akavuliwa uanachama, then what? That's also called FISADILISM.
 

Bora ya sitta kuliko chenge ,apewe sitta kwani akipewa chenge (FISADI PAPA)atakipelekea ccm kuwa chama cha walipiza kisasi.
 
Speaker sio Sitta wala Chenge....wote ni watu kwenye makundi CCM. Speaker hata toka kwenye makundi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…