Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Ama kweli kampeni zimeshika kasi. Spika wetu Dk. Tulia Ackson sasa ni mtaa kwa mtaa Mbeya mjini. Baada ya kumaliza mitaa kadhaa sasa amejikita Mtaa wa Ilindi akimpigia kampeni mgombea wa CCM Ndugu Abdul Kilasi na wajumbe wake.
"Wana Ilindi twendeni na Abdul Kilasi na wajumbe wake. Huyu ni kijana wetu tunamfahamu vilivyo naye anaifahamu Ilindi na changamoto zake zote. Msifanye makosa muda wa wale bado wasubiri" kauli ya Spika Tulia katika mkutano wa hadhara.