Dikteita kutoka kwa Magufuli, sijui alimuibua wapi na kwa mausiano yapi katika wanawake wote intelligent Tanzania.Mbunge wa Tarime Mwita Waitara amepewa Onyo kali na Spika Tulia kwa kosa la kukidharau kiti cha Spika
Source Star tv bungeni
Laana ya chadema inamuandama huyu.Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza...
Walibebwa na mwenda zake sasa mambo maji ya shingoLeo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza...
Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza.
Waitara amekiuka kanuni ya 5 ya Bunge inayomtaka kukata rufaa kwa maandishi endapo hataridhika na maamuzi ya Spika badala yake akaenda kwenye vyombo vya habari.
Spika amesema kwa Mwita kusema Spika alikuwa Naibu Mwanasheria mkuu wa Serikali hawezi kujua sheria kuliko yeye.
Spika amesema adhabu iko wazi kanuni ya 84 imezungumzia utovu mkubwa lakini ameamua kumpa Onyo kali na Asirudie tena.
View attachment 2260182
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara