Spika Tulia Ackson asitisha Shughuli za Bunge kwa Dharura, awataka wabunge kutoka nje kwa haraka

Natamani wabunge wangeteketea humo woote kasolo luhaga mpina,mdee na na yule mbunge machachali mwanamke wa chadema kutoka mkoa wa sumbawanga.
 
Psychological torture hiyo KWA mps!!

Yaani hampo safe as long as mlipitisha dp world!!
 
Mungu a nisamehe tu Ila ninachowaza moyoni mwangu haha
 
Chanzo cha alarm hizo ilikuwa ni uwepo wa marekebisho yanayofanyika chini ya ukumbi wa Bunge ambapo chumba kimojawapo kilikuwa na hitilafu katika utinduaji wa eneo jambo lililofanya vifaa maalum kunasa vumbi na kusababisha alarm ipige kelele.
Hawakujua kama kuna watinduaji, au walitaka tu kupunga upepo
 
Imeisha hiyo,

Turudi haraka kwenye mjadala wa Bandari yetu.

Tuhakikishe haiuzwi, iwe Kwa faida au HASARA.

Mali ya urithi haiuzwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…