Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,294
mods rekebisha ni spika ,badala ya apia
Sawa kabisa. Sugu hana lolote zaidi ya kuongea kama mhuni tu.hoja ya kuligawa Jimbo la mbeya yawe 2 ,ni uoga na kumvimbisha kichwa sugu,Jimbo la mbeya halina idadi ya wakazi wengi kihivyo Kama ulivyoeleza,na ni dogo Sana ukilinganisha na majimbo mengine ya mikoa mingine .ccm ni chama kikubwa na kinachokubalika Jimbo la mbeya ,hivyo usimpe credit sugu aone unatafuta away to escape him.
Acha Jimbo likae kama awali ,tumalize utata ,Kati yako na sugu ,maana Yule mwanamziki wa kufokafoka anajigamba Sana ,eti unamkimbia kiaina.ccm NI chama kikubwa ,acha mtanange uamue ,Nani ni Done 2025!!
Mtalogana wenyewe , watu wanataka maendeleo Spika analeta Jogging na Mang'oma !hoja ya kuligawa Jimbo la mbeya yawe 2, ni uoga na kumvimbisha kichwa Sugu. Jimbo la mbeya halina idadi ya wakazi wengi kihivyo Kama ulivyoeleza, na ni dogo Sana ukilinganisha na majimbo mengine ya mikoa mingine, CCM ni chama kikubwa na kinachokubalika Jimbo la mbeya hivyo usimpe credit Sugu aone unatafuta away to escape him.
Acha Jimbo likae kama awali ,tumalize utata. Kati yako na Sugu, maana Yule mwanamziki wa kufokafoka anajigamba Sana eti unamkimbia kiaina.
CCM ni chama kikubwa, acha mtanange uamue nani ni nani 2025.
Ni maendeleo Gani kafanya huyo sugu zaidi ya kuonesha kidole cha kati bungeni na kungoa mic?Mtalogana wenyewe , watu wanataka maendeleo Spika analeta Jogging na Mang'oma !