johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Spika Tulia ameiagiza serikali kuleta taarifa bungeni iwapo malalamiko yaliyotolewa na wabunge kwamba Tembo wanauwa watu katika maeneo mbalimbali nchini yana ukweli wowote.
Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu Mh Majaliwa taarifa hiyo hiyo iwe imefika bungeni ndani ya miezi 3 kuanzia leo.
Chanzo: Star TV bungeni
Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu Mh Majaliwa taarifa hiyo hiyo iwe imefika bungeni ndani ya miezi 3 kuanzia leo.
Chanzo: Star TV bungeni