johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Spika Tulia ameiagiza serikali kuleta taarifa bungeni iwapo malalamiko yaliyotolewa na wabunge kwamba Tembo wanauwa watu katika maeneo mbalimbali nchini yana ukweli wowote.
Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu Mh Majaliwa taarifa hiyo hiyo iwe imefika bungeni ndani ya miezi 3 kuanzia leo.
Source Star TV bungeni
Ulitaka iletwe Ufipa stTaarifa ipelekwe kwenye hilo bunge kibogoyo?!
Na wewe umeshaingia kwenye ule upuuzi wa MATAGA wasiojitambua!Ulitaka iletwe Ufipa st
Unajua kalenda ya bunge lakini?Na wewe umeshaingia kwenye ule upuuzi wa MATAGA wasiojitambua!
Binafsi, naona huo muda ni mrefu sana! Kama taarifa, angeitaka kwa matukio ambayo yamekishatokea tayari. Hiyo miezi mitatu, labda kama anataka matukio mapya kutoka sasa!
Duh...... wabongo hamna jemaNi janja ya wale jamaa ili kuandaa mkakati wa kupunguza idadi ya tembo.
Ulitaka iletwe Ufipa st
Inamaana yeye hajui au kwa sababu yeye anaulinzi full?Spika Tulia ameiagiza serikali kuleta taarifa bungeni iwapo malalamiko yaliyotolewa na wabunge kwamba Tembo wanauwa watu katika maeneo mbalimbali nchini yana ukweli wowote.
Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu Mh Majaliwa taarifa hiyo hiyo iwe imefika bungeni ndani ya miezi 3 kuanzia leo.
Source Star TV bungeni
Safari hii atawasafisha woteBroo Msomali ameasharudishwa ccm lazima tembo watengenezewe mazingira ya kupunguzwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wale COVID 19 waliapishwa kwa kufuatwa kalenda ipi?Unajua kalenda ya bunge lakini?
Hii ni Awamu ya 6Wale COVID 19 waliapishwa kwa kufuatwa kalenda ipi?
Mm ninaishi maeneo Kama hayo.Ni kweli huko vijijini Tembo wameshaua Sana wananchi.Kwa kipindi Cha miaka mitano ,JPM alizuia Tembo wasiuliwe na binadamu.Kwa hiyo wamezaliana Sana.Kwa akili nyepesi na isiyohitaji kwenda chuo kikuu ,tungetenga vipindi vya miaka mitano mitano kuwawinda na mitano mingine kuwaua.Wananchi wangepewa kipaumbele.Tungekuwa matajiri Sana.Spika Tulia ameiagiza serikali kuleta taarifa bungeni iwapo malalamiko yaliyotolewa na wabunge kwamba Tembo wanauwa watu katika maeneo mbalimbali nchini yana ukweli wowote.
Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu Mh Majaliwa taarifa hiyo hiyo iwe imefika bungeni ndani ya miezi 3 kuanzia leo.
Source Star TV bungeni
Spika hawaamini wawakilishi wa wananchiSpika Tulia ameiagiza serikali kuleta taarifa bungeni iwapo malalamiko yaliyotolewa na wabunge kwamba Tembo wanauwa watu katika maeneo mbalimbali nchini yana ukweli wowote.
Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu Mh Majaliwa taarifa hiyo hiyo iwe imefika bungeni ndani ya miezi 3 kuanzia leo.
Source Star TV bungeni
Spika hayuko serious kila siku ITV inaripoti watu kuuawa yeye haoniSpika Tulia ameiagiza serikali kuleta taarifa bungeni iwapo malalamiko yaliyotolewa na wabunge kwamba Tembo wanauwa watu katika maeneo mbalimbali nchini yana ukweli wowote.
Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu Mh Majaliwa taarifa hiyo hiyo iwe imefika bungeni ndani ya miezi 3 kuanzia leo.
Source Star TV bungeni