Pre GE2025 Spika Tulia akionesha umahiri wake kwenye kuchanganya saruji na kupangilia tofati, watafika 2025 wakiwa wamechoka sana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Hapa ni Spika Tulia kwenye one and two akituonesha alivyobobea kwenye kuchanya saruji na kupangilia tofali kama picha zinavyoonesha. Nakumbuka na msanii Kigwa alipoenda kula kwa mama ntilie na yule aliyejifanya mkulima wa nyanya, na ukulima ukaisha aliporudishwa kwenye sistimu :KEKLaugh: :KEKLaugh:

Majimboni kumenoga kwelikweli!

Kupata matukio mengine ya vimbwanga wakati huu wa uchaguzi kwa wanasisa na watu wengine bofya hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Screenshot 2024-10-22 091440.png
Screenshot 2024-10-22 091504.png

Kwenye reli hatutoki lakini, Mchengerwa ukajibu maswali ya wananchi kuhusu daftari la makaazi, na useme taarifa za kata na mitaa za waliojiandikisha zinatolewa lini?
 
With all manipulations that CCM has being doing, why does it bother puffing up ,as if you have a contender in Tanzanian corridors of power? Fodge on and go ahead why puffing up?
 
Asante kwa marekebisho Mkuu
Kwa hiyo hata huo utani hukuuelewa? Sementi na saruji ni sahihi. Ulichokosea wewe ni kuliandika sImenti badala ya sEmenti.

Asante kwa kunishukuru. You seem to be way better than yesterday.
 
Spika kijana Daktari Tulia anaupiga mwingi. Nilikuwa simkubali sana ila speech yake kwenye IPU imefanya nimsamehe dhambi zake zote.
 
Dahhhh....
Ila burundi ina wana nchi wajinga na wasio jitambua sana...🤨
 
Uchaguzi huoo maigizo mtayaona ya kila aina

Ova
 
Back
Top Bottom