Musachawenyu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 280
- 526
Si wananchi ndio wahakikishe ubunge?Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.
Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Si mbaya aje CHAUMMA tutampitisha bila kupingwa"Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim"!!!
wamama wanasiasa wanachapwa sana, waume zao nawahurumia.
Kwa uchaguzi huu wa sasa ni watu huamua nani awe Mbunge maana hakuna uchaguzi huru na Haki.Wananchi ndio wanatakiwa kumhakikishia
Ugumu anaoupata ni kwa kusaliti Chama chake.Alifikiri miaka mitano ni mingii
Hivi sasa ni genge la watu kadhaaSi wananchi ndio wahakikishe ubunge?
Esther na Salum Mwalim wanategea mume wa Esther afe waoane ila babu yuko kwenye wheelchair na kakataa kufa."Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim"!!!
wamama wanasiasa wanachapwa sana, waume zao nawahurumia.
Chaumma mumewe wa pembeni si ndio Katibu Mkuu. Hapo uhakika kupitishwaSi mbaya aje CHAUMMA tutampitisha bila kupingwa
Kanisa moja takatifu katoliki la mitume.Zamani Tarime ilikuwa ni kuumeni 🐼
Kwani Esther ameolewa na babu?Esther na Salum Mwalim wanategea mume wa Esther afe waoane ila babu yuko kwenye wheelchair na kakataa kufa.
Kwa hiyo Trump kuzuia misaada ya Ukimwi na kondom hazina shida, maana ni nyama Kwa nyama kama kazi!"Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim"!!!
wamama wanasiasa wanachapwa sana, waume zao nawahurumia.
Kwa hiyo mkurya kachapiwaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.
Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Watu mnadata!Esther ni mwanamke malaya malaya.
Aliolewa na kijana mwenzake.
Baadae akakutana na babu mwenye pesa akawa mchepuko.
Mke wa babu kagundua kamsanua na mume wa Esther.
Ndoa ya Esther ikavunjika na ya babu ikavunjika.
Ndipo Esther na babu wakaamua kuoana.
Baadae katika harakati za Chadema akakutana na Salum Mwalim akiwa mtangazaji.
Hadi sasa Salum Mwalim ni Ben 10 wa Esther, kapangiwa nyumba upande kinondoni na tayari wana watoto wawili wasio na vichogo.
Swali jepesi sana kujibu lakini ni vigumu sana kunyanyua kinywa kutamka!Kwani Esther ameolewa na babu?
Na Spika Tulia ni muwakilishi wa wananchi....kwa hiyo anawakilisha kumhakikishia kwa niaba ya wananchi🐼Wananchi ndio wanatakiwa kumhakikishia