Musachawenyu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 280
- 526
- Thread starter
-
- #21
Mume wake wa ndoa alikuwa anaitwa Matoke.Watu mnadata!
Esther akishavuta bangi na kunywa Konyagi anatoa shoo bila kinga.Kwa hiyo Trump kuzuia misaada ya Ukimwi na kondom hazina shida, maana ni nyama Kwa nyama kama kazi!
Ye kwake ni mama hana baya!Esther akishavuta bangi na kunywa Konyagi anatoa shoo bila kinga.
Ni mgawaji mzuri, hana choyo
Hizi mali tungekuwa tunazikwa nazo,tungekomaMume wake wa ndoa alikuwa anaitwa Matoke.
Alipambana sana akaenda na Esther London.
Wakati anajitafuta Esther akakutana na babu mtanzania alikuwa Mkurugenzi kwenye taasisi nyeti serikali.
Akasaliti kama kawaida yake ya usaliti na akafuata pesa.
Haya yote ni matunda ya MuunganoEsther ni mwanamke malaya malaya.
Aliolewa na kijana mwenzake.
Baadae akakutana na babu mwenye pesa akawa mchepuko.
Mke wa babu kagundua kamsanua na mume wa Esther.
Ndoa ya Esther ikavunjika na ya babu ikavunjika.
Ndipo Esther na babu wakaamua kuoana.
Baadae katika harakati za Chadema akakutana na Salum Mwalim akiwa mtangazaji.
Hadi sasa Salum Mwalim ni Ben 10 wa Esther, kapangiwa nyumba upande kinondoni na tayari wana watoto wawili wasio na vichogo.
SawaNa Spika Tulia ni muwakilishi wa wananchi....kwa hiyo anawakilisha kumhakikishia kwa niaba ya wananchi🐼
Kachapiwa na MzanzibariKwa hiyo mkurya kachapiwa
Kwamba watoto watatu aliodhani ni wake ni wa Salimu Mwalimu. Maajabu yapo duniani.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.
Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Ni tume ya CCMUteuxi tayari, halafu tume ya uchaguxi wanajiita tume huru.
Nusu mkate, CHAUMA na ACT wamepewa Majimbo 30 , Jimbo la Rombo ni mojawapo.Uteuxi tayari, halafu tume ya uchaguxi wanajiita tume huru.
DuEsther ni mwanamke malaya malaya.
Aliolewa na kijana mwenzake.
Baadae akakutana na babu mwenye pesa akawa mchepuko.
Mke wa babu kagundua kamsanua na mume wa Esther.
Ndoa ya Esther ikavunjika na ya babu ikavunjika.
Ndipo Esther na babu wakaamua kuoana.
Baadae katika harakati za Chadema akakutana na Salum Mwalim akiwa mtangazaji.
Hadi sasa Salum Mwalim ni Ben 10 wa Esther, kapangiwa nyumba upande kinondoni na tayari wana watoto wawili wasio na vichogo.
CCM hawezi kuwaachia hata dak 1Nusu mkate, CHAUMA na ACT wamepewa Majimbo 30 , Jimbo la Rombo ni mojawapo.
Sahihi kabisa. Tamaa tu ja kutoridhikaHizi mali tungekuwa tunazikwa nazo,tungekoma
Huzuni sana🤣🤣🤣Kachapiwa na Mzanzibari
Uchaguzi wa maigizo tu huoUteuxi tayari, halafu tume ya uchaguxi wanajiita tume huru.
Isipowaachia haita kidhi vigezo vya kupata mikopo.(kumbuka mama anapenfa mikopo)CCM hawezi kuwaachia hata dak 1