Spika Tulia anawalaghai Watanzania

Spika Tulia anawalaghai Watanzania

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Spika Tulia anataka kuwaletea ahueni watu wanaotiliwa mashaka na CAG Kichere ndiyo maana anasema mjadala (wa ripoti ya CAG) ufanyike Novemba.

Lakini kama CAG ameandika ile ripoti wale watu wanaweza kujojiwa na TAKUKURU, na DPP na kupelekwa mahakamani. Mambo yoyote yatayokuwepo katika ripoti ya CAG ambayo siyo clear yanaweza kuwa sorted out na mawakili.

Ni mara ngapi tumeona Mahakama wanaongea, wanaongea, wanaongea, halafu wanasema, mtu huyu ana kesi ya kujibu. Kwahiyo Mahakama haiwezi kumuonea mtu yoyote.
 
Mkuu tatizo ni sheria iliyopo, ingefanyiwa marekebisho kwanza sheria. Ili CAG akitoa madudu watu waruke nayo, but now ni lazima ipitiwe na kamati za kibunge then maamuz yatolewe!
 
Back
Top Bottom