Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Huu ndio muda wa kujipendekeza kwa kila mtu mradi wapate kura, safari hii mkienda na kwa waganga mtupigie pia na picha. Msiwafiche fiche wakati tunajua na huko mnafika, kweli uongozi mtamu
.
====
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki ibada katika Madhabahu ya Sauti ya Rehema, Isyesye, jijini Mbeya. Akiwahutubia waumini, Dkt. Tulia amehimiza umuhimu wa kuombea amani ya nchi na kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema ni jukumu la waumini kusikiliza sera za wagombea na kupiga kura ili kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo. Pia, aliwashukuru kwa maombi yao kwa viongozi wa taifa, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.
Mchungaji Patrick Mwalusamba amepongeza juhudi za Dkt. Tulia katika majukumu yake na kuhimiza waumini kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi kwa ajili ya kudumisha amani na maendeleo.

.====