Spika Dkt. Tulia alivyowataka Wabunge kupunguza sauti na kuepuka kuongea na Simu na Wajumbe Bungeni; "Mnaanza kidogo kidogo, halafu zinapanda"
Your browser is not able to display this video.
"Waheshimiwa Wabunge mnajadiliana mambo ya msingi sana lakini punguzeni sauti, wale mnaoongea na simu mnaanza kuongea kidogo kidogo lakini baadaye zinapanda, nadhani Wajumbe sijui wanawasumbua huko." - Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson.