Pre GE2025 Spika Tulia: Hakutakuwa na ugumu wowote kwenye kampeni za mwaka huu. Mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa, sheria zimebadilishwa

Pre GE2025 Spika Tulia: Hakutakuwa na ugumu wowote kwenye kampeni za mwaka huu. Mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa, sheria zimebadilishwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Tulia anasema hana presha yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.

Katika Mahojiano Maalum aliyofanya na ManaraTv Dkt.Tulia ameeleza kuwa hakutakuwa na ugumu wowote kutokana na mambo yaliyokuwa yakilalamikiwa yamefanyiwa maboresho ikiwemo ubadilishaji wa baadhi ya sheria.

Manara Tv na spika wa bunge Tena

Anyway hayo maboresho ni pamoja na Yale kubadilisha jina la tume !
 
Huyu kwanza ndio wana mbeya mnatakiwa msituletee tena bungeni. Mshiriki mkubwa kutaka uuzaji bandari zetu kwa waarabu wa Dubai. Alifanya unyemela kupitisha bungeni ule mkataba utafikiri hajui nini alikua anatufanyia watanzania.
 
Wakuu,

Tulia anasema hana presha yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.

Katika Mahojiano Maalum aliyofanya na ManaraTv Dkt.Tulia ameeleza kuwa hakutakuwa na ugumu wowote kutokana na mambo yaliyokuwa yakilalamikiwa yamefanyiwa maboresho ikiwemo ubadilishaji wa baadhi ya sheria.

View attachment 3223438
Wasted spe*m🚮🚮
 
Back
Top Bottom