Spika Tulia, ukweli wa aliyosema Mpina haubatilishwi kwa kumkasirikia kwamba amekiuka kanuni za Bunge na kudai hakuheshimu!

Wafuatao wasichaguliwe tena mwaka 2025
1. Dk Tulia Ackson-Mbeya
2. Zungu-Ilala
3. Dk Mwigulu L.Nchemba-Iramba
4. January Makamba-Bumbuli
5. Nape Nnauye-Mtama
6. Ummy Mwalim-Tanga mjini
7.Hussein Bashe-Nzega mjini
8.Abdallah Ulega-Mkuranga
9. Abbas Mtemvu-Kibamba
10.Kitila Mkumbo-Ubungo
11. Abood-Morogoro mjini
12. Mikumi,
13. Kigoma
14. Mavude-Dodoma mjini
15. Temeke
ongeza orodha..........................
 
Wote waliochaguliwa kwa kulazimisha uchaguzi uliopita, kama wa dhamiri ndani yao wasirudi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…