Spika Tulia: Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ni mali ya Serikali kwa 100% Wananchi wa Jimbo la Hai watambue hilo!

Spika Tulia: Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ni mali ya Serikali kwa 100% Wananchi wa Jimbo la Hai watambue hilo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Spika wa bunge Dr Tulia amesema Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) ni mali ya Serikali kwa 100%

Dr Tulia alikuwa anakazia kauli ya mbunge wa Hai Ndugu Mafuwe aliyadai Serikali ilinunua shea zote za KIA lakini kuna baadhi ya Watu jimboni wanawafanganya Wananchi kuhusu Kadco.

Spika Tulia amesema Utata ulioibuka kuhusu Kadco utamalizwa pale pale bungeni.

Chanzo: Star TV
 
Pongezi spika wa viwango vya mbali.
 
Back
Top Bottom