Spika wa bunge Dr Tulia amesema Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) ni mali ya Serikali kwa 100%
Dr Tulia alikuwa anakazia kauli ya mbunge wa Hai Ndugu Mafuwe aliyadai Serikali ilinunua shea zote za KIA lakini kuna baadhi ya Watu jimboni wanawafanganya Wananchi kuhusu Kadco.
Spika Tulia amesema Utata ulioibuka kuhusu Kadco utamalizwa pale pale bungeni.
Chanzo: Star TV