Spika Tulia wape muda Halima na wenzake dhidi ya husda za wana-Chadema. Mbona wanatawaliwa kidikteka kwa miaka 30 wapo kimya?

Spika Tulia wape muda Halima na wenzake dhidi ya husda za wana-Chadema. Mbona wanatawaliwa kidikteka kwa miaka 30 wapo kimya?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Halima na wenzake wapewe muda kama ni rufaa au ku-file upya vyote vifanyike.

Wakati huo waendelee kuwakilisha wanaChadema bungeni.

Lakini Mbowe anawatawala kidikteta kwa katiba mbovu na hawalalamiki? Halafu hawa kina dada wanawamaindi namna hii? Spika Tulia tumia busara kuwalinda hawa akina dada.
 
Weka hoja za msingi siyo kukurupuka huo udikteta wa mbowe upo wapi?
 
Spika Tulia wape muda Halima na wenzake dhidi ya husda za wanaChadema. Mbona wanatawaliwa kidikteka kwa miaka 30 wapo kimya?​

Kweli CHAWA mmekamatwa pabaya😊

Kwamba Tulia akaidi hukumu ya mahakama na aendeleze uvunjifu wa Katiba kwa kuwang'ang'ania Mzee Halima na wenzie?

Ulevi wa kangara ni shiiida!!
 
Halima na wenzake wapewe muda kama ni rufaa au kufile upya vyote vifanyike.

Wakati huo waendelee kuwakilisha wanaChadema bungeni.

Lakini Mbowe anawatawala kidikteta kwa katiba mbovu na hawalalamiki? Alafu hawa kinadada wanawamaindi namna hii? Spika Tulia tumia busara kuwalinda hawa akina dada.
Mbona wewe hujaonewa husda na kangara wao waonewe husda Kwa sababu Gani.🚶
 
Halima na wenzake wapewe muda kama ni rufaa au kufile upya vyote vifanyike.

Wakati huo waendelee kuwakilisha wanaChadema bungeni.

Lakini Mbowe anawatawala kidikteta kwa katiba mbovu na hawalalamiki? Alafu hawa kinadada wanawamaindi namna hii? Spika Tulia tumia busara kuwalinda hawa akina dada.
Kwani CCM siyo chama? waje huko huko
 
Umefanya sensa lini na sample zako ni zipi mpk ukajua JF ni 99 ni CHADEMA?
Kitu hujui nyamaza! Sensa haina sample maana ni enumeration na wala si interviews! Surveys kama household surveys, demographic surveys ndizo zinatumia sample badala ya total population-census
 
Kitu hujui nyamaza! Sensa haina sample maana ni enumeration na wala si interviews! Surveys kama household surveys, demographic surveys ndizo zinatumia sample badala ya total population-census
Hayo ni maswali mawili tofauti?
 
Back
Top Bottom