Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwani Mbowe huwa anajipa madaraka ya kuwa mwenyekiti wa Chadema mwenyewe bila kupigiwa kura?Sasa kama wao hawazingatii demokrasia unategemea nini?
Democrasia ipi! Hawafanyi chaguzi? Hizi nyuzi za kukurupuka zinachangia kiwaharibia zaidi. Ni heri kuwa mkimya kuliko hayaSasa kama wao hawazingatii demokrasia unategemea nini?
Kweli CHAWA mmekamatwa pabaya😊Spika Tulia wape muda Halima na wenzake dhidi ya husda za wanaChadema. Mbona wanatawaliwa kidikteka kwa miaka 30 wapo kimya?
Mbona wewe hujaonewa husda na kangara wao waonewe husda Kwa sababu Gani.🚶Halima na wenzake wapewe muda kama ni rufaa au kufile upya vyote vifanyike.
Wakati huo waendelee kuwakilisha wanaChadema bungeni.
Lakini Mbowe anawatawala kidikteta kwa katiba mbovu na hawalalamiki? Alafu hawa kinadada wanawamaindi namna hii? Spika Tulia tumia busara kuwalinda hawa akina dada.
Kwani CCM siyo chama? waje huko hukoHalima na wenzake wapewe muda kama ni rufaa au kufile upya vyote vifanyike.
Wakati huo waendelee kuwakilisha wanaChadema bungeni.
Lakini Mbowe anawatawala kidikteta kwa katiba mbovu na hawalalamiki? Alafu hawa kinadada wanawamaindi namna hii? Spika Tulia tumia busara kuwalinda hawa akina dada.
Hii ni A/C ya Pascal MayallaMbona wewe hujaonewa husda na kangara wao waonewe husda Kwa sababu Gani.🚶
Umefanya sensa lini na sample zako ni zipi mpk ukajua JF ni 99 ni CHADEMA?Hapa JF ukiunga mkono akina Mdee, unatukanwa, sababu JF ni asilimia 99 Chadema!
Kitu hujui nyamaza! Sensa haina sample maana ni enumeration na wala si interviews! Surveys kama household surveys, demographic surveys ndizo zinatumia sample badala ya total population-censusUmefanya sensa lini na sample zako ni zipi mpk ukajua JF ni 99 ni CHADEMA?
Nakazia.Ukiacha siasa na mazoea,akina Mdee na wenzie,wapo Bungeni isivyo halali
Hayo ni maswali mawili tofauti?Kitu hujui nyamaza! Sensa haina sample maana ni enumeration na wala si interviews! Surveys kama household surveys, demographic surveys ndizo zinatumia sample badala ya total population-census