johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msema kweli mpenzi wa Mungu!Mkuu Joni nini kimekukumba mbona umebadilisha upepo baada ya mwendazake kuondoka
Kufungiwa account ndio kufungiwa biashara bwashee.umenukuu vibaya hakusema biashara zimefugwa ni account zake kufugwa pamoja na account binafsi
Sio "MAENDELEO HAYANA CHAMA" tena?Kazi Iendelee.
Kazi ya maendeleo Iendelee!Sio "MAENDELEO HAYANA CHAMA" tena?
Hivi huyu Ngonyani ni wa wapi?Kazi ya maendeleo Iendelee!
Mdigo wa Tanga!Hivi huyu Ngonyani ni wa wapi?
Tanga nayo ina wanawake wahakunaku namna hii.?Mdigo wa Tanga!
Mkuu Joni nini kimekukumba mbona umebadilisha upepo baada ya mwendazake kuondoka
Baba zao walihamia Tanga kama Manamba kwenye mashamba ya katani ila asili yao ni Ruvuma!Tanga nayo ina wanawake wahakunaku namna hii.?
Aliyekalia kiti leo ni madam RingoMsema kweli mpenzi wa Mungu!
Kazi Iendelee.
Kinachoniuma zaidi yule mama na yeye anapokea 11M+Natoa tu ushauri kwa kiti cha Spika kwamba siyo vema wala haki kuruhusu wabunge kuchochea chuki na fitna kwa jamii tena kwa watu ambao hawako bungeni.
Nilivyomsikia Mbowe ni kwamba biashara zake zimefungwa na TRA baada ya kushindwa kulipa kodi ya tsh 2 bilioni ambayo anaipinga.
Mbowe aliongea kupitia press na wananchi wengi walimsikia.
Sasa anapoibuka mbunge Ngonyani na kumshushia tuhuma Mbowe na familia yake na kiti kinakaa kimya hii si haki.
Kazi Iendelee