Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Tunapoongelea mambo ya demokrasia na uwajibikaji basi bila shaka Marekani inakuwa ni nchi mama.
Hivi karibuni Speaker wa Bunge la Marekani amekataa ombi la Rais Joe Biden la kupeleka msaada wa Bilioni 24 nchini Ukraine.
Mike Johnson ambaye anatokea kwenye chama cha Republican amesema kuwa yeye kama Spika haungi mkono Marekani kupeleka Dola Bilioni 24 Ukraine na kwamba uamuzi wowote kuhusu misaada kwenda Ukraine itatolewa na Rais mteule, Donald Trump.
Akiwa anaongea kwenye mkutano maalum wa Republicans, Johnson alidokeza kuwa kuchaguliwa kwa Donald Trump kama Rais ajaye wa Marekani kutabadilisha muelekeo mzima wa vita wa Ukraine na kwamba maamuzi yoyote ya misaada kwenda Kiev yanatakiwa yafanywe na uongozi mpya wa Trump.
"Kama tulivyotabiri na kama nilivyowaambia wiki chache kabla ya uchaguzi, ikiwa Donald Trump atachaguliwa, itabadilisha mienendo ya vita vya Urusi dhidi ya Ukraine, na tunaona hilo likitokea," alisema.
Soma pia: Trump: Nitaimaliza vita Ukraine ndani ya saa 24
Msaada wa Biden ungesaidia Ukraine hadi mwaka 2026, hasa katika kipindi hiki ambacho Trump anatarajiwa kumshinikiza Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, kuzungumza na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kutafuta suluhisho la vita vilivyodumu karibu miaka mitatu.
Nimewaza hapa Tanzania Tulia amgomee Samia kupitisha muswada wowote bungeni. Wenzetu wana demokrasia na uwajibikaji sisi tunaigiza
===================
House Speaker Mike Johnson on Wednesday rejected a White House request to pass $24 billion in additional aid for Ukraine by the end of the year, saying any further assistance for Kyiv would be decided by President-elect Trump when he assumes office in January.
“I’m not planning to do that,” Johnson said in response to a question if he would add aid for Ukraine to a continuing resolution to fund the government.
Johnson, speaking during a House Republican Leaders news conference, said Trump’s election victory is changing the dynamic of Russia’s war on Ukraine and that any additional U.S. assistance for Kyiv should be decided under the next administration.
Source: The Hill