Spika wa Bunge la Tanzania kwa heshima yake alitakiwa ajiuzulu, analidhalilisha bunge

Spika wa Bunge la Tanzania kwa heshima yake alitakiwa ajiuzulu, analidhalilisha bunge

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
"Mwenye shibe hamjui mwenye njaa"
 
Siku kadhaa zimepita Dkt. Tulia Ackson alikataa bunge lisijadili hoja ya watu kutekwa na kusema kuwa siyo Kila anayepotea ametekwa hivyo ona amekuja kuumbuka.

Kwa kifo cha mzee wa watu. Kwa kulinda heshima yake alitakiwa achukue hatua ya kustafuu.

PIA SOMA
- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko

- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo

- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
List ni ndefu lakini hakuna aliye tayari kuachia ngazi
 
Siku hizi hata maswali kwa Waziri Mkuu anajibu yeye.
 
Mnafiki, mnafiki. Uliporuhusu na kupitisha ile sheria ya hovyo kuwapa Tisa kinga ya kutoshtakiwa, na uwezo wa kukamata bila kuhojiwa ,ulitegemea nini?
 
Bora angenyamaza tu, sio kwa hili boko alilo litowa.
 
Back
Top Bottom