Pre GE2025 Spika wa Bunge Tulia Ackson na Foundation yake azidi kumwaga misaada kwa wananchi wa Mbeya Mjini

Pre GE2025 Spika wa Bunge Tulia Ackson na Foundation yake azidi kumwaga misaada kwa wananchi wa Mbeya Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya.

Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na kugawiwa nguo pamoja na majengo ambayo foundation yale imejenga.

Sugu anaona lakini mambo haya anayofanya Tulia?

Back
Top Bottom