Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,
Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya.
Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na kugawiwa nguo pamoja na majengo ambayo foundation yale imejenga.
Sugu anaona lakini mambo haya anayofanya Tulia?