Spika wa Bunge UDOM nae aondolewa na polisi baada ya kutaka kutoa tamko

Mbona uvccm wamejazana hapa udom? Na wanaendelea kukenua meno wakati wenzao wa vyama vingine wanaendelea kunyanyasika? Wewe kama ni msomi basi ongea uhalisia wacha kutawaliwa na itikadi.

Acha kuongea kwa hisia mkuu, mimi hata hicho chuo sijawahi kufika wala sijasoma hapo, nilikua najaribu kueleza vijana wenzangu waepuke siasa maana wakiendekeza watapoteza lengo la kupata elimu lililowapeleka pale.
 
Kweli na pia masomo yenye mwelekeo wa kisiasa kama POLITICAL SCIENCE yafutwe!! Pia kauli kama za mwalimu nyerere za siasa ni maisha, kilimo ni siasa .....and vicersa vyooote vifutwe na marufuku juu!!

Political science isomwe kama taaluma tu na sio kuunganisha watu wavuruge system.
Nina hakika ccm wako tayari kuwaua wanafunzi ambao ni wafuasi wa cdm,cuf etc sasa ili kuepuka hili nawasihi sana vijana wenzangu wasionyeshe hisia za vyama vyao wanapokua chuoni maana wataharibikiwa 100%
 

Atasomea wapi, nyie chadema mnaharibu future ya vijana kwa kuwatumia kujijengea umaarufu wa chama chenu. Wapi Mnyika, mnamtumia na shule hasomi tena, kibaya zaidi, wengi hao wameingia shule kwa shida wazazi wao hawana uwezo, unadhani watasoma tena!
 
Hakuna chuo tena hapo bali ni kambi ya uvccm.Udhalimu na ufedhuli wa hali ya juu.

usiongee kama umekunywa maji ya chooni, kwani hao wanafunzi wamepelekwa kusoma na vyama au wazazi wao ndio wanahangaika! Iweje mtu uingie kichwakichwa kwenye mambo ya ushabiki wa siasa na kusahau main objective iliyokupeleka chuo? Chadema wanawadanganya hao vijana na hawatawapa hata mia ya kusoma zaidi ya maandamano yasiyo na tija.
 

mfumo wa maisha yao umeharibiwa na chadema, watakoma.
 

Tatizo ni chadema kupenda kuwatumia watu kwenye mambo yao, mfano ni wale vijana kutoka Geita walikuja na magunia yao, chadema wakawadaka na kuwapa mabendera na mwisho wa siku wananyea debe na wao wako kimyaa! Wanafunzi hao wajitambue wasitumike kama vikaragosi wakati elimu yenyewe hawana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…