Spika wa hawezi kuishtakiwa mahakamani, hata akimtukana au kumwondoa Rais kinga itamlinda?

Spika wa hawezi kuishtakiwa mahakamani, hata akimtukana au kumwondoa Rais kinga itamlinda?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Kwa kuwa Spika ashtakiwi, akitaka kumwondoa Rais aliyepo madarakani aidha kupitia Bunge au kupitia mbinu chafu zozote akabainika atafanywa nini?
 
Hivi hiyo mikopo inakuja yote bara au inaenda mpaka visiwani, je wao wana visiwa wanalipa?
 
Kwa kuwa Spika ashtakiwi, akitaka kumwondoa Rais aliyepo madarakani aidha kupitia Bunge au kupitia mbinu chafu zozote akabainika atafanywa Nini?
Tutavunja katiba na kumshitaki accordingly...ASJIDANGANYE ETI ANAYO KINGA.

Mama Samia ni Amiri Jeshi na Rais wa Tanzania kihalali...wasituchezee kabisa..ENOUGH IS ENOUGH.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom